Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Language Selector
Search Icon

Popular Bible Verses from Yona 4

1

Yona 4:2

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Kwa hiyo akaomba: Yawe, si hayo ndiyo mambo yaleyale niliyowaza utayafanya nilipokuwa katika inchi yangu? Ndiyo maana nilifanya haraka kukimbilia Tarsisi. Nilijua kwamba wewe ni Mungu ambaye umejaa huruma na rehema, haukasiriki upesi, wewe ni mwingi wa wema, na tayari kubadilisha nia yako kusudi usiazibu.

Bera saman

Njòttu Yona 4:2

2

Yona 4:10-11

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Basi Mungu akamwambia: Mumea huu uliota na kukomaa kwa usiku mumoja, na usiku uliofuata ukanyauka. Wewe haukuufanyia kitu chochote, wala haukuuotesha. Mbona unausikilia huruma? Basi, haifai kwangu kuuhurumia Ninawe, ule muji mukubwa wenye watu elfu mia moja na makumi mbili, wasioweza kutambua linalokuwa jema na baya; na nyama wengi wasiokuwa na hesabu?

Bera saman

Njòttu Yona 4:10-11

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Yona 4

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest