Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Language Selector
Search Icon

Popular Bible Verses from Yoane 2

1

Yoane 2:11

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Ni vile Yesu alivyofanya kitambulisho chake cha kwanza katika Kana ya Galilaya. Pale alionyesha utukufu wake na wanafunzi wake wakamwamini.

Bera saman

Njòttu Yoane 2:11

2

Yoane 2:4

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Lakini Yesu akamujibu: “Mama, kuna maneno gani kati yako nami? Saa yangu haijatimia bado.”

Bera saman

Njòttu Yoane 2:4

3

Yoane 2:7-8

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Yesu akawaambia watumishi: “Mujaze mitungi hii na maji.” Nao wakaijaza kabisa. Kisha Yesu akamwambia: “Muteke sasa kwa maji haya na muyapeleke kwa mukubwa wa karamu.” Watumishi wakayapeleka

Bera saman

Njòttu Yoane 2:7-8

4

Yoane 2:19

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Yesu akawajibu: “Mubomoe hekalu hili, nami nitalijenga katika siku tatu.”

Bera saman

Njòttu Yoane 2:19

5

Yoane 2:15-16

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Basi akasokota kamba kuwa fimbo na kuwafukuza wote toka hekalu pamoja na kondoo na ngombe wao. Kisha akapindua meza za wenye kubadilisha feza na kuzimwanga chini. Akawaambia wachuuzi wa njiwa: “Muondoshe vile vitu hapa. Musifanye nyumba ya Baba yangu kuwa nyumba ya biashara!”

Bera saman

Njòttu Yoane 2:15-16

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Yoane 2

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2025 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest

Heim

Biblía

Áætlanir

Myndbönd