Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Language Selector
Search Icon

Popular Bible Verses from Yoane 17

1

Yoane 17:17

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Uwatakase wapate kujitoa kwako kabisa kwa njia ya ukweli, maana yake kwa njia ya neno lako la kweli.

Bera saman

Njòttu Yoane 17:17

2

Yoane 17:3

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Nao uzima wa milele ni kukujua wewe unayekuwa peke yako Mungu wa kweli na Yesu Kristo uliyemutuma.

Bera saman

Njòttu Yoane 17:3

3

Yoane 17:20-21

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

“Siwaombei hawa tu, lakini ninawaombea vilevile wale watakaoamini kwa sababu ya mafundisho yao. Ninaomba kusudi wote wakuwe mumoja, kama vile wewe Baba unavyokuwa ndani yangu na mimi ndani yako. Ninaomba vilevile kwamba wakuwe ndani yetu, kusudi dunia ipate kuamini kwamba umenituma.

Bera saman

Njòttu Yoane 17:20-21

4

Yoane 17:15

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Sikuombi kama uwaondoe katika dunia, lakini ninakuomba uwakinge na yule Mwovu Shetani.

Bera saman

Njòttu Yoane 17:15

5

Yoane 17:22-23

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Nami nimewapa utukufu ulionipa, kusudi wakuwe mumoja kama vile sisi tunavyokuwa mumoja. Ninaomba nikuwe ndani yao na wewe ndani yangu, kusudi wapate kuwa mumoja kabisa; na dunia ijue kama wewe ndiwe uliyenituma na kwamba unawapenda kama vile unavyonipenda.

Bera saman

Njòttu Yoane 17:22-23

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Yoane 17

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest

Heim

Biblía

Áætlanir

Myndbönd