Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Language Selector
Search Icon

Popular Bible Verses from Mwanzo 12

1

Mwanzo 12:2-3

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kutukuza jina lako, nawe utakuwa baraka. Anayekubariki, nitamubariki, anayekulaani, nitamulaani. Kwa njia yako, nitabariki mataifa yote ya dunia.”

Bera saman

Njòttu Mwanzo 12:2-3

2

Mwanzo 12:1

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Basi, Yawe akamwambia Abramu: “Ondoka katika inchi yako, acha jamaa yako na nyumba ya baba yako, uende katika inchi nitakayokuonyesha.

Bera saman

Njòttu Mwanzo 12:1

3

Mwanzo 12:4

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Kwa hiyo, Abramu akaondoka kama vile Yawe alivyomwamuru, na Loti akakwenda pamoja naye. Abramu alikuwa na umri wa miaka makumi saba na mitano alipotoka Harani.

Bera saman

Njòttu Mwanzo 12:4

4

Mwanzo 12:7

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Halafu Yawe akamutokea Abramu, akamwambia: “Nitawapa wazao wako inchi hii.” Basi, Abramu akajenga mazabahu kwa ajili ya Yawe aliyemutokea.

Bera saman

Njòttu Mwanzo 12:7

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Mwanzo 12

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2025 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest

Heim

Biblía

Áætlanir

Myndbönd