Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Tungumálaval
Leitartákn

Popular Bible Verses from Danieli 8

1

Danieli 8:24-25

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Atakuwa mwenye mamlaka makubwa, atasababisha uharibifu mubaya sana, na atafanikiwa katika kila atakalotenda. Atawaangamiza watu wenye uwezo na watakatifu wa Mungu. Kwa werevu wake, atafanikiwa katika mipango yake ya udanganyifu, naye atajitukuza. Atawaangamiza watu wengi sana, na atataka kupigana na Mukubwa wa wakubwa, lakini ataangamizwa pasipo kutumia nguvu za kimutu.

Bera saman

Njòttu Danieli 8:24-25

2

Danieli 8:19-21

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Kisha akaniambia: Sikiliza, ninakufahamisha jinsi matokeo ya kasirani ya Mungu yatakavyokuwa. Maono hayo yanaelekea wakati wa mwisho. Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia. Yule beberu ni mufalme wa Ugriki. Ile pembe kubwa katikati ya macho yake ni mufalme wa kwanza.

Bera saman

Njòttu Danieli 8:19-21

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Danieli 8

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest