Merki YouVersion
BiblíaÁætlanirMyndbönd
Sæktu forritið
Tungumálaval
Leitartákn

Popular Bible Verses from Danieli 5

1

Danieli 5:23

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Pahali pake umejitukuza mwenyewe mbele ya Bwana wa mbinguni: umeleta vyombo vya nyumba ya Mungu ukavitumia kwa kunywea divai, wewe, wakubwa wako, wanawake wako na wahabara wako, na kuisifu miungu iliyotengenezwa na feza, zahabu, shaba, chuma, miti na mawe; miungu ambayo haioni, haisikii wala haijui jambo lolote. Lakini Mungu, ambaye uzima wako uko katika mukono wake, na njia zako ziko wazi mbele yake, haukumuheshimu!

Bera saman

Njòttu Danieli 5:23

2

Danieli 5:25-28

BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

SWC02

Maandiko yenyewe ni: MENE, MENE, TEKELI, PERESI. Na hii ndiyo maana yake. MENE: Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha. TEKELI: wewe umepimwa kwenye mizani, nawe ukaonekana hauna uzito wowote. PERESI: ufalme wako umegawanywa kati ya Wamedi na Wapersi.

Bera saman

Njòttu Danieli 5:25-28

Ókeypis lestraráætlanir og hugleiðingar sem tengjast Danieli 5

Fyrri kafli
Næsti kafli
YouVersion

Hvetur þig áfram og skorar á þig að leita samfélags við Guð á hverjum degi.

Kirkjustarf

Um YouVersion

Starfsferill

Sjálfboðaliði

Blogg

Fjölmiðlar

Gagnlegar hlekkir

Hjálp

Gefa

Bíblíuútgáfa

Hljóðbiblíur

Tungumál Biblíunnar

Vers dagsins


Stafræn kirkja

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

FriðhelgisstefnaSkilmálar
Vulnerability Disclosure Program
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest