Akara Njirimara YouVersion
Akara Eji Eme Ọchịchọ

Waamuzi 11:30-31

Waamuzi 11:30-31 SWC02

Yefuta akamwapia Yawe akisema: “Kama utawatia Waamoni katika mikono yangu, basi, yeyote atakayetoka inje kutoka katika nyumba yangu kuja kunipokea nitakapokuwa ninarudi nyuma ya kuwashinda Waamoni, huyo atakuwa wako wewe Yawe. Nitakutolea kama sadaka ya kuteketezwa.”