Amosi UTANGULIZI
UTANGULIZI
Amosi aliishi mbele ya manabii wengine wote ambao tumeachiwa vitabu vyao. Yeye alizaliwa katika ufalme wa kusini wa Yuda lakini akaitwa kutumika katika ufalme wa kaskazini katika mwaka 750 mbele ya Kristo.
Wakati huu ulikuwa wa fanaka na maendeleo ya uchumi na usalama. Lakini Amosi aliona kwamba hali hiyo ilipatikana kwa kutesa na kugandamiza wamasikini. Utimizaji wa mambo ya dini ulikuwa wa unafiki, na usalama wa kisiasa haukukuwa imara. Amosi alishitaki ukosefu wa haki katika taifa kwa uhodari wa pekee. Aliwaambia watu kwamba Mungu atawaazibu. Mwito wake kwa waongozi wapate kushika haki haukupokelewa vizuri. Alikatazwa kufanya kazi yake ya kinabii kule Beteli.
Nke Ahọpụtara Ugbu A:
Amosi UTANGULIZI: SWC02
Mee ka ọ bụrụ isi
Kesaa
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Mapịa
Ịchọrọ ka echekwaara gị ihe ndị gasị ị mere ka ha pụta ìhè ná ngwaọrụ gị niile? Debanye aha gị ma ọ bụ mee mbanye
Bible in Swahili Congo © Bible Society of the Democratic Republic of Congo (DRC), 2002.