1
Luka MT. 23:34
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa maana hawajui watendalo. Wakagawanya nguo zake, wakipiga kura.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Luka MT. 23:34
2
Luka MT. 23:43
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Peponi.
Nyochaa Luka MT. 23:43
3
Luka MT. 23:42
Akamwambia Yesu, Bwana, unikumbuke ujapo katika ufalme wako.
Nyochaa Luka MT. 23:42
4
Luka MT. 23:46
Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu: na alipokwisha kusema haya akatoa roho.
Nyochaa Luka MT. 23:46
5
Luka MT. 23:33
Hatta walipofika pahali paitwapo Kichwa, ndiko walikomsulibisha, na wale wakhalifu, mmoja mkono wa kuume, na mmoja mkono wa kushoto.
Nyochaa Luka MT. 23:33
6
Luka MT. 23:44-45
Ikapata kama saa a sita, pakawa giza juu ya inchi yote hatta saa a tissa, jua likipunguka: pazia ya hekalu ikapasuka katikati.
Nyochaa Luka MT. 23:44-45
7
Luka MT. 23:47
Akida alipoona lililokuwa, akamtukuza Mungu, akisema, Kwa kweli mtu huyu alikuwa mwenye haki.
Nyochaa Luka MT. 23:47
Ebe Mmepe Nke Mbụ Nke Ngwá
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ Ihe Ogụgụ Gasị
Vidiyo Gasị