1
Kumbukumbu la Sheria 32:4
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Yawe ni mulima wa usalama. Kazi zake ni kamilifu, njia zake zote ni za haki. Yeye ni Mungu mwaminifu asiyekuwa na kosa, yeye anafanya mambo ya usawa na ya haki.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 32:4
2
Kumbukumbu la Sheria 32:39
Muone kwamba mimi ni Mungu na wala hakuna mwingine isipokuwa mimi. Mimi ninaua na kuweka uzima, ninaumiza na kuponya, na hakuna anayeweza kumwokoa yeyote toka katika mikono yangu.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 32:39
3
Kumbukumbu la Sheria 32:3
Maana nitatangaza jina la Yawe, nanyi museme: “Mungu wetu ni Mukubwa”.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 32:3