1
Kumbukumbu la Sheria 31:6
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Mukuwe imara na hodari, wala musiwaogope au kutishwa nao, maana Yawe, Mungu wenu, ndiye anayekwenda pamoja nanyi. Yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa.”
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 31:6
2
Kumbukumbu la Sheria 31:8
Yawe ndiye anayewaongoza. Yeye atakuwa pamoja nanyi. Yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa. Hivyo, musiogope wala musifazaike.”
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 31:8
3
Kumbukumbu la Sheria 31:7
Kisha Musa akamwita Yoshua, akamwambia mbele ya watu wote wa Israeli: “Ukuwe imara na hodari, maana wewe utawaongoza watu hawa kwenda kurizi inchi ambayo Yawe aliwaahidi babu zao, nawe utawapatia wairizi.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 31:7