YouVersion का प्रतीक चिन्ह
बाइबिलयोजनाएँवीडियो
ऐप प्राप्त करें
भाषा चयनकर्ता
खोज चिह्न

Luka 24से लोकप्रिय बाइबिल छंद

1

Luka 24:49

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo kutoka juu.”

तुलना

खोजें Luka 24:49

2

Luka 24:6

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Hayuko hapa; amefufuka! Kumbukeni alivyowaambia alipokuwa bado yuko pamoja nanyi huko Galilaya kwamba

तुलना

खोजें Luka 24:6

3

Luka 24:31-32

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena. Wakaulizana wao kwa wao, “Je, mioyo yetu haikuwaka ndani yetu alipokuwa anazungumza nasi njiani na kutufafanulia Maandiko?”

तुलना

खोजें Luka 24:31-32

4

Luka 24:46-47

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Akawaambia, “Haya ndio yaliyoandikwa: Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu. Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.

तुलना

खोजें Luka 24:46-47

5

Luka 24:2-3

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka mdomo wa kaburi, lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.

तुलना

खोजें Luka 24:2-3

पिछला अध्याय
अगला अध्याय
YouVersion

हर दिन परमेश्वर के साथ घनिष्ठता तलाशने के लिए आपको प्रोत्साहित और चुनौती देना।

मिनिस्ट्री

के विषय में

पेशा

स्वयंसेवक

ब्लॉग

प्रेस

उपयोगी लिंक

सहायता

योगदान

बाईबिल की अन्य संस्करणे

ऑडियो बाइबिल

बाइबिल भाषाएँ

आज का पद्य


एक डिजिटल मिनिस्ट्री, ये वाले से -

Life.Church
English (US)

©2025 Life.Church / YouVersion

निजी नीतिशर्तें
भेद्यता प्रकटीकरण कार्यक्रम
फेसबुकट्विट्टरइंस्टाग्रामयूट्यूबपिंटरेस्ट

होम

बाइबिल

योजनाएँ

वीडियो