YouVersion का प्रतीक चिन्ह
बाइबिलयोजनाएँवीडियो
ऐप प्राप्त करें
भाषा चयनकर्ता
खोज चिह्न

Luka 20से लोकप्रिय बाइबिल छंद

1

Luka 20:25

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Akawaambia, “Basi mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.”

तुलना

खोजें Luka 20:25

2

Luka 20:17

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

Lakini Yesu akawakazia macho, akasema, “Basi ni nini maana ya yale yaliyoandikwa: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni’?

तुलना

खोजें Luka 20:17

3

Luka 20:46-47

Neno: Bibilia Takatifu 2025

NENO

“Jihadharini na walimu wa sheria. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni. Hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kukaa kwenye nafasi za heshima katika karamu. Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema, wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.”

तुलना

खोजें Luka 20:46-47

निःशुल्क पठन योजनाएँ और भक्तिपूर्ण पठन योजनाएँ जो Luka 20 से संबंधित हैं

पिछला अध्याय
अगला अध्याय
YouVersion

हर दिन परमेश्वर के साथ घनिष्ठता तलाशने के लिए आपको प्रोत्साहित और चुनौती देना।

मिनिस्ट्री

के विषय में

पेशा

स्वयंसेवक

ब्लॉग

प्रेस

उपयोगी लिंक

सहायता

योगदान

बाईबिल की अन्य संस्करणे

ऑडियो बाइबिल

बाइबिल भाषाएँ

आज का पद्य


एक डिजिटल मिनिस्ट्री, ये वाले से -

Life.Church
English (US)

©2025 Life.Church / YouVersion

निजी नीतिशर्तें
भेद्यता प्रकटीकरण कार्यक्रम
फेसबुकट्विट्टरइंस्टाग्रामयूट्यूबपिंटरेस्ट

होम

बाइबिल

योजनाएँ

वीडियो