1
Mathayo 26:41
Biblia Habari Njema
BHND
Kesheni na kusali ili msije mkaingia katika majaribu. Roho inataka lakini mwili ni dhaifu.”
Compare
Mathayo 26:41 ખોજ કરો
2
Mathayo 26:38
Hapo akawaambia, “Nina huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. Kaeni hapa mkeshe pamoja nami.”
Mathayo 26:38 ખોજ કરો
3
Mathayo 26:39
Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali: “Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki kinipite; lakini isiwe nitakavyo mimi, ila utakavyo wewe.”
Mathayo 26:39 ખોજ કરો
4
Mathayo 26:28
maana hii ni damu yangu inayothibitisha agano, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi ili kuwaondolea dhambi.
Mathayo 26:28 ખોજ કરો
5
Mathayo 26:26
Walipokuwa wanakula, Yesu akatwaa mkate, akamshukuru Mungu, akaumega, akawapa wanafunzi wake akisema, “Twaeni mle; huu ni mwili wangu.”
Mathayo 26:26 ખોજ કરો
6
Mathayo 26:27
Kisha akatwaa kikombe cha divai, akashukuru, akawapa akisema, “Kunyweni nyote
Mathayo 26:27 ખોજ કરો
7
Mathayo 26:40
Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Mathayo 26:40 ખોજ કરો
8
Mathayo 26:29
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Mathayo 26:29 ખોજ કરો
9
Mathayo 26:75
Petro akakumbuka maneno aliyoambiwa na Yesu: “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Basi, akatoka nje, akalia sana.
Mathayo 26:75 ખોજ કરો
10
Mathayo 26:46
Amkeni; twendeni zetu. Tazameni! Anakuja yule atakayenisaliti.”
Mathayo 26:46 ખોજ કરો
11
Mathayo 26:52
Hapo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga.
Mathayo 26:52 ખોજ કરો