1
Mathayo 25:40
Biblia Habari Njema
BHND
Mfalme atawajibu, ‘Kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.’
Compare
Mathayo 25:40 ખોજ કરો
2
Mathayo 25:21
Bwana wake akamwambia, ‘Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo, nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.’
Mathayo 25:21 ખોજ કરો
3
Mathayo 25:29
Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
Mathayo 25:29 ખોજ કરો
4
Mathayo 25:13
Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
Mathayo 25:13 ખોજ કરો
5
Mathayo 25:35
Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha
Mathayo 25:35 ખોજ કરો
6
Mathayo 25:23
Mathayo 25:23 ખોજ કરો
7
Mathayo 25:36
nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.’
Mathayo 25:36 ખોજ કરો