Ishi Maisha -Yaliyojaa Kusudi!Muestra

“Funguo za Uhusiano Uliofanikiwa”
Kila uhusiano, iwe ni rafiki, mwanafamilia, mwenza, au hata Mungu, una mambo mawili ya msingi kuufanya ufanikiwe: upendo na mapenzi yanawashirikisha watu hao, na kuuweka upendo huo katika matendo.
Ukweli ni kwamba upendo wa kweli siku zote utaambatana na matendo; rafiki wa kweli anapomuona mwenzake ana mahitaji ataitikia kwa kumsaidia. Hivyo hivyo ni kweli katika mahusiano yetu na Mungu. Kumpenda Mungu kwa dhati huendana na matendo; kugusa moyo wa Mungu kwa kugusa maisha ya watu wanaotuzunguka.
Kuwa na mahusiano bora na wengine huanzia na uhusiano wetu na Mungu. Ukweli ni kwamba, Mungu anataka uhusiano wetu na wengine uwe ni tawi la uhusiano wetu na Yeye.
Kama waamini, uhusiano wetu na Mungu (kwenda juu) na uhusiano wetu na watu (sisi kwa sisi) ndio mambo muhimu kwa Mungu – kumpenda Yeye na kuwapenda wengine.
Escrituras
Acerca de este Plan

Maisha yenye kusudi na yaliyojaa furaha, hujengwa kwenye mahusiano, upendo na imani. Kama unataka njia iliyonyooka zaidi ya mpango wa Mungu kwa maisha yako, tumia mpango huu kukusaidia kuweka mkazo katika hilo lengo lako. Imechukuliwa kutoka kitabu kiitwacho, “Nje ya Dunia Hii: Mwongozo wa Kikristo Kwa Ukuaji na Kusudi” na David J. Swandt
More
Planes relacionados

Serán Mis Testigos

Integridad Del Corazón: Venciendo La Hipocresía Con La Verdad

Una Vida Transformada Para Dios

¡RUIDO!

Cuando No Sabes Si Puedes Seguir

Camino a La Paz Que Guarda El Corazón

La Ansiedad: El Mal De Todos Los Tiempos

Cultivando el Fruto del Espíritu

Malaquías – Serie: Profetas
