YouVersion-logo
BibelLæseplanerVideoer
Download appen
Sprogvælger
Søgeikon

Populære bibelvers fra Mathayo 15

1

Mathayo 15:18-19

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Lakini mambo mabaya ambayo watu wanasema kwa vinywa vyao hutokana na mawazo yao. Na hayo ndiyo yanayoweza kumtia mtu unajisi. Mambo mabaya haya yote huanzia akilini: mawazo maovu, mauaji, uzinzi, uasherati, wizi, uongo, na matukano.

Sammenlign

Udforsk Mathayo 15:18-19

2

Mathayo 15:11

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Si chakula kinachoingia mdomoni kinachomtia mtu unajisi, bali kile kinachomtoka mdomoni mwake.”

Sammenlign

Udforsk Mathayo 15:11

3

Mathayo 15:8-9

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

‘Watu hawa wananiheshimu kwa maneno tu, lakini mimi si wa muhimu kwao. Ibada zao kwangu hazina maana. Wanafundisha kanuni za kibinadamu tu.’”

Sammenlign

Udforsk Mathayo 15:8-9

4

Mathayo 15:28

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Kisha Yesu akamjibu, “Mwanamke, una imani kuu! Utapata ulichoomba.” Wakati huo huo binti wa yule mwanamke akaponywa.

Sammenlign

Udforsk Mathayo 15:28

5

Mathayo 15:25-27

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Ndipo mwanamke alikuja mahali alipokuwa Yesu na kuinama mbele yake. Akasema, “Bwana, nisaidie!” Akamjibu kwa kumwambia, “Si sahihi kuwapa mbwa mkate wa watoto.” Mwanamke akasema, “Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula vipande vya chakula vinavyoanguka kutoka kwenye meza za mabwana zao.”

Sammenlign

Udforsk Mathayo 15:25-27

Gratis læseplaner og andagter relateret til Mathayo 15

Forrige Kapitel
Næste Kapitel
YouVersion

Opmuntrer og udfordrer dig til at søge intimitet med Gud hver dag.

Tjeneste

Om

Karrierer

Bliv frivillig

Blog

Presse

Nyttige links

Hjælp

Donér

Bibeloversættelser

Lydbibler

Bibelsprog

Dagens vers


Et digitalt ministerium af

Life.Church
Dansk

©2026 Life.Church / YouVersion

PrivatlivspolitikBetingelser
Procedure for offentliggørelse af sikkerhedssårbarheder
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest

Hjem

Bibel

Læseplaner

Videoer