Zaburi 139:11-12
Zaburi 139:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama ningeliomba giza linifunike, giza linizunguke badala ya mwanga, kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wangaa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama nikisema, Hakika giza litanifunika, Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku; Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139