YouVersion Logo
بائبلمطالعاتی منصوبہVideos
اپلی کیشن حاصل کریں
زبان کا انتخاب کنندہ
تلاش

Mwanzo 7 سے مشہور بائبلی آیات

1

Mwanzo 7:1

Neno

NEN

Ndipo BWANA akamwambia Nuhu, “Ingia katika safina, wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki.

موازنہ

تلاش Mwanzo 7:1

2

Mwanzo 7:24

Neno

NEN

Maji yakaifunika dunia kwa siku mia moja na hamsini.

موازنہ

تلاش Mwanzo 7:24

3

Mwanzo 7:11

Neno

NEN

Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili, mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, siku hiyo chemchemi zote za vilindi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.

موازنہ

تلاش Mwanzo 7:11

4

Mwanzo 7:23

Neno

NEN

Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali; watu, wanyama pori, viumbe vinavyotambaa ardhini, na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Nuhu peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.

موازنہ

تلاش Mwanzo 7:23

5

Mwanzo 7:12

Neno

NEN

Mvua ikanyesha juu ya dunia siku arobaini usiku na mchana.

موازنہ

تلاش Mwanzo 7:12

پچھلا باب
اگلا باب
YouVersion

آپ کو ہر روز خدا کے ساتھ قربت حاصل کرنے کی ترغیب دینا اور چیلنج کرنا۔.

خدمت

بارے میں

آسامیاں

رضاکار

Blog

Press

Useful Links

مدد

ہدیہ دیں

بائبل ورژن

Audio Bibles

بائبل کی زبانیں

آج کی آیت


کی ایک ڈیجیٹل خدمت

Life.Church
اردو

©2026 Life.Church / YouVersion

Privacy Policyشرائط
حساس کا انکشاف کرنے والا عمل
FacebookTwitterInstagramیوٹیوبپنٹیرسٹ