Biblica, The International Bible Society, inawapa watu Maandiko ya Mwenyezi Mungu kupitia kutafsiri na kuchapisha Maandiko, na mipango ya kushirikisha watu kusoma Maandiko katika Afrika, Asia ya Mashariki na Pasifiki, Ulaya, Amerika ya Kilatini, Mashariki ya Kati, Amerika ya Kaskazini, na Asia ya Kusini. Kupitia mpango wake wa kufikia dunia nzima, Biblica inahusisha watu na Maandiko ya Mwenyezi Mungu ili maisha yao yapate kubadilishwa kupitia uhusiano wao na Isa Al-Masihi.


Biblica, Inc.

NMM ผู้เผยแพร่

เรียนรู้เพิ่มเติม

ฉบับอื่นโดย Biblica, Inc.

YouVersion ใช้คุกกี้สำหรับการปรับแต่งการใช้งาน และประสบการณ์ของคุณ การที่คุณได้ใช้เว็บไซต์ของเรา ถือเป็นการที่คุณยอมรับวัตถุประสงค์ของการใช้คุกกี้ ซึ่งมีคำอธิบายอยู่ในนโยบายความเป็นส่วนตัวของเรา