BibleProject | Mafunzo ya Haraka ya Mtume Paulo

10 Рӯз
Katika mpango huu wa siku kumi, utatambulishwa kwa barua nne za Mtume Paulo. Katika kitabu cha Wagalatia Paulo anazungumzia suala la mataifa kuzingatia torati. Katika waefeso anaonyesha jinsi injili inavyoleta upatanisho kati ya Mungu na mwanadamu na kati ya mwanadamu na mwanadamu. Katika Wafilipi anawatia moyo wakristo kwa kutumia mfano wa upendo wa kujitolea wa Kristo. Na katika Wathesalonike, anawatia moyo Wakristo wanaoteseka wawe na tumaini ndani ya Kristo.
Tungependa kumshukuru BibleProject kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://bibleproject.com/swahili/ |
Нақшаҳои марбут ба мавзӯъ

The Lighthouse in the Fog

Overcoming Temptation

Thriving in God’s Family

Nicaea - Renewing the Faith

The Meaning of Life

Everyday Led by the Spirit

"Jesus Over Everything," a 5-Day Devotional With Peter Burton

Prayer Altars: Embracing the Priestly Call to Prayer

From 'Not Enough' to More Than Enough
