1
Mattayo MT. 10:16
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Angalieni, mimi nawatumeni kama kondoo kati ya mbwa wa mwitu: bassi mwe na busara kama nyoka, na msio na dhara kama hua.
Муқоиса
Mattayo MT. 10:16 омӯзед
2
Mattayo MT. 10:39
Anaeipata roho yake ataiangamiza; nae anaeitoa roho yake kwa ajili yangu ataipata.
Mattayo MT. 10:39 омӯзед
3
Mattayo MT. 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho: afadhali mmwogopeni yule awezae kuangamiza mwili na roho pia katika jehannum.
Mattayo MT. 10:28 омӯзед
4
Mattayo MT. 10:38
Nae asiyechukua msalaba wake na kufuata nyuma yangu, hanifai.
Mattayo MT. 10:38 омӯзед
5
Mattayo MT. 10:32-33
Bassi killa mtu atakaenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni. Bali mtu ye yote atakaenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mattayo MT. 10:32-33 омӯзед
6
Mattayo MT. 10:8
Ponyeni wagonjwa, takaseni wenye ukoma, fufueni wafu, fukuzeni pepo; mmepata burre, toeni burre.
Mattayo MT. 10:8 омӯзед
7
Mattayo MT. 10:31
Msiogope bassi; hora ninyi kuliko videge vingi.
Mattayo MT. 10:31 омӯзед
8
Mattayo MT. 10:34
Msidhani ya kuwa nalikuja kueneza amani duniani; la! sikuja kueneza amani, bali upanga.
Mattayo MT. 10:34 омӯзед
Асосӣ
Китоби Муқаддас
Нақшаҳо
Видео