1
Matendo ya Mitume 3:19
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Kwa hiyo juteni na kugeuka, makosa yenu yafutwe, yawatoke!
సరిపోల్చండి
Matendo ya Mitume 3:19 ని అన్వేషించండి
2
Matendo ya Mitume 3:6
Petero akasema: Fedha na dhahabu sinazo, lakini nilicho nacho, nitakupa. Katika Jina la Yesu Kristo wa Nasareti inuka, uende!
Matendo ya Mitume 3:6 ని అన్వేషించండి
3
Matendo ya Mitume 3:7-8
Kisha akamshika mkono wa kuume, akamwinua. Papo hapo miguu yake na fundo zake zikapata nguvu, akaruka, akasimama, akaenda, akapaingia Patakatifu pamoja nao akizunguka na kurukaruka na kumsifu Mungu.
Matendo ya Mitume 3:7-8 ని అన్వేషించండి
4
Matendo ya Mitume 3:16
Tena kwa hivyo, huyu alivyolitegemea Jina lake, hilo Jina lake limemtia nguvu huyu, mnayemwona na kumjua. Kweli hivyo, alivyolitegemea kwa kutiwa nguvu nalo, ndivyo vilivyompa huu uzima wote, mnaouona ninyi nyote.*
Matendo ya Mitume 3:16 ని అన్వేషించండి