1
Matendo ya Mitume 16:31
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
wakasema: Mtegemee Bwana Yesu! Ndivyo, utakavyookoka wewe nao waliomo nyumbani mwako.
సరిపోల్చండి
Matendo ya Mitume 16:31 ని అన్వేషించండి
2
Matendo ya Mitume 16:25-26
Lakini usiku wa manane Paulo na Sila wakamwomba Mungu na kumwimbia, wafungwa wenzao wakiwasikiliza. Papo hapo nchi ikatetemeka sana, hata misingi ya kifungo ikatikisika; mara milango yote ikafunguka, hata minyororo yao wote ikakatika.
Matendo ya Mitume 16:25-26 ని అన్వేషించండి
3
Matendo ya Mitume 16:30
Alipowapeleka nje na kuwauliza: Bwana zangu, inayonipasa kuyafanya, nipate kuokoka ndiyo nini?
Matendo ya Mitume 16:30 ని అన్వేషించండి
4
Matendo ya Mitume 16:27-28
Mlinda kifungo akazinduka, akaona, milango ya kifungo iko wazi, akachomoa upanga, akataka kujiua, kwani alidhani, wafungwa wametoroka. Lakini Paulo akamkemea na kupaza sauti akisema: Usijifanyie kiovu! Kwani sisi sote tupo hapa.
Matendo ya Mitume 16:27-28 ని అన్వేషించండి