1
Matendo ya Mitume 13:2-3
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Hao walipokuwa wakimtumikia Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema: Nitengeeni Barnaba na Sauli, waifanye kazi, niliyowaitia! Ndipo, walipofunga na kuomba, wakawabandikia mikono, kisha wakawasindikiza.
సరిపోల్చండి
Matendo ya Mitume 13:2-3 ని అన్వేషించండి
2
Matendo ya Mitume 13:39
Na tena: Yote yasiyowezekana kuondolewa kwa nguvu ya Maonyo ya Mose, kila mwenye kumtegemea Bwana anaondolewa nayo kwa nguvu yake yeye, awe mwongofu.
Matendo ya Mitume 13:39 ని అన్వేషించండి
3
Matendo ya Mitume 13:47
Kwani tumeagizwa hivyo na Bwana: Nimekuweka kuwa mwanga wa wamizimu, uwe wokovu wao hata mapeoni kwa nchi.
Matendo ya Mitume 13:47 ని అన్వేషించండి