1
Hesabu 22:28
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Hapo Yawe akafungua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balamu: Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?
సరిపోల్చండి
Hesabu 22:28 ని అన్వేషించండి
2
Hesabu 22:31
Hapo, Yawe akafungua macho ya Balamu, naye akamwona malaika wa Yawe amesimama katika njia, akishika upanga uliochomolewa toka kifuko chake. Balamu akajitupa uso mpaka chini.
Hesabu 22:31 ని అన్వేషించండి
3
Hesabu 22:32
Malaika wa Yawe akamwambia Balamu: Mbona umemupiga punda wako mara tatu? Nimekuja kukuzuia, kwa sababu njia yako ni mbaya.
Hesabu 22:32 ని అన్వేషించండి
4
Hesabu 22:30
Punda akamwambia Balamu: Mimi si yuleyule punda wako aliyekubeba maisha yako yote mpaka siku hii ya leo? Nimekwisha kukutendea namna hii? Balamu akajibu: Hapana.
Hesabu 22:30 ని అన్వేషించండి
5
Hesabu 22:29
Balamu akamwambia punda: Wewe umenichekelea! Kama ningekuwa na upanga ningalikuua sasa hivi!
Hesabu 22:29 ని అన్వేషించండి
6
Hesabu 22:27
Punda alipomwona huyo malaika wa Yawe, akalala chini. Balamu akawaka hasira, akamupiga kwa fimbo yake.
Hesabu 22:27 ని అన్వేషించండి