Habari Njema za Mungu (App ya Biblia kwa Watoto)

Siku tano (5)

Huu mpango unawasaidia watoto kuelewa kwamba wanapendwa na Mungu na kwamba Yeye anataka kuwa na uhusiano nao. Watoto wanakaribishwa kujiunga katika Hadithi Kuu ya Mungu na kuonyeshwa maana ya kumwamini na kumfuata Yesu. Mpango huu unasaidiana na ile App ya Biblia ya hadithi ya watoto iitwayo, "Habari Njema Za Mungu.

Mchapishaji

YouVersion kwa kushirikiana na OneHope

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 50000 wamemaliza