Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Siku 5 za Kuomba kwa Ajili ya Wale Wasiomjua Yesu

Siku 5 za Kuomba kwa Ajili ya Wale Wasiomjua Yesu

5 Siku

Ibada hii ya siku tano inatumia msingi wa Maandiko kuangazia maombi kwa ajili ya wale wasiomjua Yesu. Tukikusudia na kuwa mwaminifu katika kuomba, tutaona watu wengi wakifungua mioyo yao kwa Yesu.

Tungependa kumshukuru GNPI kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: gnpi.org

Mipangilio yanayo husiana