Furaha! kwa Ulimwengu Wako! Kujiandaa Kwa Krismasi

Siku 25

Krismasi ni wakati ambao tunafaa kutarajia lango la Mbinguni katika ulimwengu wetu uliojaa vumbi na uchafu. Krismasi ni wakati ambao tunakumbushwa kuwa miujiza yote kwa kweli hutokea, maombi yanajibiwa na kuwa Mbinguni ni umbali wa jibu moja tu. Kupitia matukio ya Maria, Yosefu, Zakaria na Elizabeth, mchungaji na Mamajusi, ibada hii inahusu umuhimu wa Krismasi ya kwanza na jinsi inavyohusiana na maisha yetu ya kila siku.

Mchapishaji

Tungependa kushukuru Carol McLeod na Huduma za Just Joy kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.justjoyministries.com

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 100000 wamemaliza