Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuumbwa Kwa Desturi Na Mungu

Kuumbwa Kwa Desturi Na Mungu

Kila mmoja wetu ni wa kipekee. Hakuna mwingine kama wewe—na hakuna mwingine kama mimi. Hiyo si ajali. Ni mpango wa Mungu. Ana kusudi la kipekee kwako ambalo linategemea mtu wa kipekee aliyekuumba uwe. Acha mwandishi maarufu ambaye vitabu vyake vingi vimeuzwa sana Tony Evans akuonyeshe ukweli wa ajabu tena wa halisia, kwamba umeumbwa na Mungu ili kutimiza makusudi Yake.

Tungependa kuwashukuru The Urban Alternative (Tony Evans) kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://tonyevans.org/

Mipangilio yanayo husiana

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha