Uwezo: Uongozi wa Wanafunzi

Siku 5

Mungu anakuitia Mambo Makubwa. Sio tu ukishakuwa mkubwa bali sasa hivi. Mpango huu utakutia moyo na kukuonyesha jinsi ya kuongezeka na muongozo wa unapostahili kuwa maishani sasa hivi. Mungu anaweza na atakutumia kwa njia za ajabu. Swali ni—utamkubalia?

Mchapishaji

Tungependa kushukuru huduma ya LifeChurch.tv kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.lifechurch.tv

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 250000 wamemaliza