Nini Upendo wa Kweli?

Siku 12

Kila mtu anataka kujua upendo ni kitu gani. Lakini watu wachache huangalia ni nini Biblia inasema kuhusu upendo. Upendo ni mada moja muhimu ya maandiko na pia wema muhimu kwa maisha ya Kikristo. Mpango huu kutoka Huduma za Thistlebend unashughulikia maana ya kibiblia ya upendo na jinsi ya kuboresha kumpenda Mungu na kuwapenda wengine.

Mchapishaji

Tungependa kushukuru huduma za Thistlebend kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.thistlebendministries.org

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 250000 wamemaliza