Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 11 YA 31

Leo tunaona ushuhuda zaidi wa Yohana Mbatizaji kumhusu Yesu na kwamba kazi yake haipingani na kazi ya Yesu. Kwa unyenyekevu Yohana anajilinganisha na mpambe wa bwana arusi, wakati Yesu ni bwana arusi (m.29-30). Tuutafakari unyenyekevu wa Yohana Mbatizaji. Rudia kusoma m.31-36 pamoja na kujipatia majibu mazuri kwa haya maswali muhimu sana: Je, Yesu alitoka wapi? Ana uhusiano gani na vyote? Na huu uhusiano una umuhimu gani kwa wamwaminio na wasiomwamini? Tumia muda kutafakari zaidi m.36.

Andiko

siku 10siku 12

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha