Waroma 2:17-18
Waroma 2:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia sheria na kujivunia kuwa wa Mungu; kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wewe, ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu, na kuyajua mapenzi yake, na kuyakubali mambo yaliyo bora, nawe umeelimishwa katika torati
Shirikisha
Soma Waroma 2