Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:7-8 - Linganisha Matoleo Yote

Ufunuo 19:7-8 BHN (Biblia Habari Njema)

Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa harusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari. Amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung'aa!” (Nguo hiyo ya kitani safi ni matendo mema ya watakatifu).

Shirikisha
Ufunuo 19 BHN

Ufunuo 19:7-8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari. Naye amepewa kuvikwa kitani nzuri, ing’arayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu.

Shirikisha
Ufunuo 19 SUV

Ufunuo 19:7-8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari. Naye ameruhusiwa kuvikwa kitani nzuri, ing'aayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu.

Shirikisha
Ufunuo 19 SRUV

Ufunuo 19:7-8 NEN (Neno)

Tufurahi, tushangilie na kumpa utukufu! Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia na bibi arusi wake amejiweka tayari. Akapewa kitani safi, inayongʼaa na nzuri, ili avae.” (Hiyo kitani safi inawakilisha matendo ya haki ya watakatifu.)

Shirikisha
Ufunuo 19 NEN