Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:11 - Linganisha Matoleo Yote

Ufunuo 19:11 BHN (Biblia Habari Njema)

Kisha, nikaona mbingu zimefunguliwa; na huko alikuwako farasi mmoja mweupe, na mpandafarasi wake aliitwa “Mwaminifu” na “Kweli”. Huyo huhukumu na kupigana kwa ajili ya haki.

Shirikisha
Ufunuo 19 BHN

Ufunuo 19:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa-kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita.

Shirikisha
Ufunuo 19 SUV

Ufunuo 19:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita.

Shirikisha
Ufunuo 19 SRUV

Ufunuo 19:11 NEN (Neno)

Kisha nikaona mbingu imefunguka na hapo mbele yangu akiwepo farasi mweupe, ambaye yeye aliyempanda aliitwa Mwaminifu na Kweli. Yeye huhukumu kwa haki na kufanya vita.

Shirikisha
Ufunuo 19 NEN