Rukia hadi maudhui

Zaburi 103:13-14 - Linganisha Matoleo Yote

Zaburi 103:13-14 BHN (Biblia Habari Njema)

Kama vile baba amhurumiavyo mwanawe, ndivyo Mwenyezi-Mungu awahurumiavyo wote wamchao. Mungu ajua mfumo wa nafsi zetu; ajua kwamba sisi ni mavumbi.

Zaburi 103 BHN

Zaburi 103:13-14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao. Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.

Zaburi 103 SUV

Zaburi 103:13-14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao. Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.

Zaburi 103 SRUV

Zaburi 103:13-14 NEN (Neno)

Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo BWANA anavyowahurumia wale wanaomcha; kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi.

Zaburi 103 NEN