Methali 19:23
Methali 19:23 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kumcha BWANA huongoza kwenye uzima, kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, bila kuguswa na shida.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumcha Mwenyezi-Mungu kunaleta uhai; amchaye hujaliwa pumziko la kutosheleza, wala hatapatwa na baa lolote.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kumcha BWANA huelekea uhai; Atakaa ameshiba; hatajiliwa na ubaya.
Shirikisha
Soma Methali 19