Mathayo 5:46
Mathayo 5:46 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, mtapata tuzo gani kwa kuwapenda tu wale wanaowapenda nyinyi? Hakuna! Kwa maana, hata watozaushuru hufanya hivyo!
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mnapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
Shirikisha
Soma Mathayo 5