Mathayo 14:6
Mathayo 14:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika sherehe za sikukuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti ya Herodia alicheza mbele ya wageni. Herode alifurahiwa
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata ilipofika sikukuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti ya Herodia alicheza mbele ya watu, akampendeza Herode.
Shirikisha
Soma Mathayo 14