Luka 6:46-47
Luka 6:46-47 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mbona mwaniita ‘Bwana, Bwana,’ na huku hamtimizi yale ninayosema? Nitawapeni mfano unaofaa kuonesha alivyo yeyote yule anayekuja kwangu, akasikia maneno yangu na kuyatimiza
Shirikisha
Soma Luka 6Luka 6:46-47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kwa nini mnaniita, Bwana, Bwana, lakini hamyatendi nisemayo? Kila mtu ajaye kwangu, na kuyasikia maneno yangu na kuyatenda, nitawaonesha mfano wake.
Shirikisha
Soma Luka 6