Walawi 19:19
Walawi 19:19 Biblia Habari Njema (BHN)
“Yakupasa kuyashika masharti yangu. Usiiache mifugo yako ipandwe na wanyama wa aina nyingine. Shambani mwako usipande mbegu za aina mbili. Usivae vazi lililofumwa kwa aina mbili za nguo.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtazishika amri zangu. Usiwaache wanyama wako wa mfugo wakazaana kwa namna mbalimbali; usipande shamba lako mbegu za namna mbili pamoja; wala usivae mwilini mwako nguo ya namna mbili zilizochanganywa pamoja.
Shirikisha
Soma Walawi 19