Yeremia 7:23 - Compare All Versions
Yeremia 7:23 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini niliwapa amri hii: Waitii sauti yangu ili niwe Mungu wao, nao wawe watu wangu. Niliwaamuru pia waishi kama nilivyowaagiza, ili mambo yao yawaendee vema.
Shirikisha
Yeremia 7 BHNYeremia 7:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini naliwaamuru neno hili, nikisema, Sikilizeni sauti yangu, nami nitakuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu; mkaende katika njia ile yote nitakayowaamuru mpate kufanikiwa.
Shirikisha
Yeremia 7 SUVYeremia 7:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)
lakini niliwaamuru neno hili, nikisema, Sikilizeni sauti yangu, nami nitakuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu; mkaende katika njia ile yote nitakayowaamuru mpate kufanikiwa.
Shirikisha
Yeremia 7 SRUVYeremia 7:23 NEN (Neno)
lakini niliwapa amri hii nikisema: Nitiini mimi, nami nitakuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu. Nendeni katika njia zote ninazowaamuru ili mpate kufanikiwa.
Shirikisha
Yeremia 7 NEN