Yeremia 51:42-43
Yeremia 51:42-43 Biblia Habari Njema (BHN)
Bahari imefurika juu ya Babuloni, Babuloni imefunikwa mawimbi yaliyochafuka. Miji yake imekuwa kinyaa, nchi ya ukavu na jangwa, nchi isiyokaliwa na mtu yeyote, wala kupitika na binadamu yeyote.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:42-43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bahari imefika juu ya Babeli, Umefunikwa kwa wingi wa mawimbi yake. Miji yake imekuwa maganjo; Nchi ya ukame, na jangwa; Nchi asimokaa mtu yeyote, Wala hapiti mwanadamu huko.
Shirikisha
Soma Yeremia 51