Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 51:40-41 - Compare All Versions

Yeremia 51:40-41 BHN (Biblia Habari Njema)

Nitawashusha chini kama kondoo wa kuchinjwa, kama vile kondoo dume na beberu. Ajabu kutekwa kwa Babuloni; mji uliosifika duniani kote umechukuliwa! Babuloni umekuwa kinyaa kati ya mataifa!

Shirikisha
Yeremia 51 BHN

Yeremia 51:40-41 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nitawatelemsha kama wana-kondoo machinjoni, kama kondoo waume pamoja na mabeberu. Jinsi Sheshaki alivyotwaliwa! Naye sifa ya dunia yote alivyoshambuliwa! Jinsi Babeli alivyokuwa ukiwa Katikati ya mataifa!

Shirikisha
Yeremia 51 SUV

Yeremia 51:40-41 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nitawateremsha kama wana-kondoo machinjoni, kama kondoo dume pamoja na mabeberu. Jinsi Sheshaki alivyotwaliwa! Naye sifa ya dunia yote alivyoshambuliwa! Jinsi Babeli alivyokuwa ukiwa Katikati ya mataifa!

Shirikisha
Yeremia 51 SRUV

Yeremia 51:40-41 NEN (Neno)

“Nitawateremsha kama wana-kondoo wanaoenda machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi. “Tazama jinsi Sheshaki atakavyokamatwa, majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani kati ya mataifa!

Shirikisha
Yeremia 51 NEN