Yeremia 4:1
Yeremia 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ukitaka kurudi ee Israeli, nirudie mimi. Ukiviondoa vitu vya kuchukiza mbele yangu, usipotangatanga huko na huko
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama ukitaka kurudi, Ee Israeli, asema BWANA, utanirudia mimi; na kama ukitaka kuyaondoa machukizo yako, yasiwe mbele ya macho yangu, ndipo hutaondolewa
Shirikisha
Soma Yeremia 4