Isaya 58:14
Isaya 58:14 Biblia Habari Njema (BHN)
utapata furaha yako kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, nitakupatia ushindi katika kila pingamizi nchini, nitakulisha mali ya Yakobo, babu yako. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
Shirikisha
Soma Sura NzimaIsaya 58:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
ndipo utakapojipatia furaha yako katika BWANA, nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako.” Kinywa cha BWANA kimenena haya.
Shirikisha
Soma Sura Nzima