Waebrania 11:1-2
Waebrania 11:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona. Maana wazee wa kale walipata kibali cha Mungu kwa sababu ya imani yao.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni kusadiki mambo yasiyoonekana. Maana kwa hiyo wazee wetu walishuhudiwa.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Maana kwa hiyo wazee wetu walishuhudiwa.
Shirikisha
Soma Waebrania 11