Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

3 Yohane 1:4 - Linganisha Matoleo Yote

3 Yohane 1:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Hakuna kitu kinachonifurahisha zaidi kuliko kusikia kwamba watoto wangu wanaishi katika ukweli.

Shirikisha
3 Yohane 1 BHN

3 Yohane 1:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.

Shirikisha
3 Yohane 1 SUV

3 Yohane 1:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.

Shirikisha
3 Yohane 1 SRUV

3 Yohane 1:4 NEN (Neno)

Sina furaha kubwa kuliko hii, ya kusikia kwamba watoto wangu wanaenenda katika kweli.

Shirikisha
3 Yohane 1 NEN