2 Wakorintho 7:10
2 Wakorintho 7:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuwa na huzuni jinsi atakavyo Mungu husababisha badiliko la moyo, badiliko lenye kuleta wokovu; hivyo hakuna sababu ya kujuta. Lakini huzuni ya kidunia huleta kifo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 72 Wakorintho 7:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba iletayo wokovu isiyo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanya mauti.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 72 Wakorintho 7:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba liletalo wokovu lisilo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanya mauti.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 7